BLOG HII IMEZINDULIWA RASMI ITUMIKE KAMA JUKWAA MARIDHIWA
KATIKA KUTATUA TATIZO LA CHAKULA CHA MIFUGO TUNAYOFUGA MAJUMBANI
KWETU AU KATIKA MASHAMBA YETU KWA MADHUMUNI YA KIBIASHARA AU
MATUMIZI YA CHAKULA MAJUMBANI MWETU.
KWA WALE AMBAO WAKO KATIKA UFUGAJI KWA MUDA MREFU WATAKUBALIANA
NA MIMI KUWA GHARAMA ZA MALISHO KWA MIFUGO YETU IKO JUU WAKATI
MWINGINE KULIKO KILE TUNACHOVUNA KUTOKA KATIKA MIFUGO YETU.
KATIKA BLOG HII TUTAANGAZIA KWA KINA JINSI TUNAVYOWEZA KUBORESHA
MIFUGO YETU KWA MALISHO BORA KABISA KUTOKA KAMPUNI YETU, MALISHO
YALIYOSHENI VIRUTUBISHO KAMILI KWA MAHITAJI YA MIFUGO YETU,
NI MATAZAMIO YA KAMPUNI YETU KUWA KWA UTALAAM AMBAO TUNAENDELEA
KUUKAMILISHA, KUWA TUTAFANYA MAGEUZI MAKUBWA YATAKAYOPELEKEA
KUTATUA TATIZO LA KULISHA MIFUGO YETU KWA PUNGUZO LA KARIBIA ASLIMIA
HAMSINI .WAKATI HUOHUO TUKIONGEZA TIJA KWA KIWANGO CHA JUU KABISA.
KATIKA MACHAPISHO YANAYOFUATA TUTAANGAZIA HATUA KWA HATUA JINSI
TUTAKAVYO ANZA KUFAIDIKA NA BLOG YETU HII MPYA,
KARIBUNI SANA MNIUNGE MKONO KATIKA SAFARI HII ILIYOANZA RASMI.
Karibu utoe maoni yako ,
Unatuelimisha zaidi ufugaji wa mifugo. Ufugaji wa kuku/bataje?
JibuFutaUnatuelimisha zaidi ufugaji wa mifugo. Ufugaji wa kuku/bataje?
JibuFutaAsante sana Mr John,
JibuFutaNaomba nikujibu kama ifuatavyo,
HYDROPONIC FODDERS TANZANIA ni kampuni inayotarajia kuanza hivi karibuni,madhumuni ya kuundwa kwa kampuni hii ni kumwezesha mfugaji kupata chakula cha mifugo yake kwa bei nafuu sana,chakula bora na kisafi.
Tutakuwa tunaandaa chakula kwa ajili ya ng'ombe,Nguruwe,Mbuzi na wanyama wote jamii ya Ndege.Katika makala zinazofuata nitaangazia juu ya ufugaji stadi wa wanyama jamii Ndege,
Nakushukuru sana kwa swali lako Bwana John.Endelea kufuatilia makala zinafuatia.